Nahitaji simu haraka bei 180,00

dlnobby

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
2,514
Reaction score
3,349
Habari wanajukwaaa.

Sina maneno mengi sana nahitaji simu nzuri yenye uwezo wa 4G iwe used lakin isiwe zaidi ya miezi sita....nipo dar jiji la bashite...

Kama unayo naomba unitumie picha na uje PM kwa biashara zaidi.
 
Siku ya bei hiyo huwezi kupata mkuu,,,180,00. !!!!!!!!!!!!?????????
 
Mimi nina nokia tochi mkuu hii huhitaji?
 
Mimi ninayo imetumika miezi miwili tu na ni iPhone6 ila tatizo lake haina betri wala screen,kama upo tiari weka Namba tuwasiliane
 
Ipo Samsung J1 imetumika miezi minne.
Nipe hio pesa
 
TECNO SPARK
Simu mpya za Tecno hata miezi 2 hazina hapa bongo
Tecno spark
Model k7
Version 7.0
Internal 16gb
Ram 1.00gb
Bei: 185,000
Mawasiliano:0717 966 128/0787 403 768
 
Nyie ndiyo nasikia wanaume wa dar kweli wewe ni kilaza au ndiyo mwenyekiti wa wanaume wa dar?

18000 simu ya 4 g unahongwa au unanunua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…