Nahitaji shule ya kufundisha esp private school.

mind ur bussness

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
1,050
Reaction score
743
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Naombeni kama kuna shule ya private inahitaji mwalimu either secondary school, advance or medium school, kwa masomo ya

kiswahili and civics/general studies

Nipo dar es salaam maeneo ya kurasini.

Mawasiliano. 0686070217

Let us connect each other so as to build our contry and prolong the life of jf.

Ahsanten.
 
Kiswahili na civics hahaaha mkuu tafuta shamba tuu watu wa masomo hayo hatuwataki saizi maana mmekuwa wengi hadi kero
Hahaaa alieshiba utamjua tuu.

Huwa hakumbuki kama kuna watu wanalala njaa nyumba ya pili.

nashukuru kwa ushauri japo ukweli unauma aiseee
 
Acha kuwaza umaskini huo. Knowledge opens the door to opportunity, achievement, success and wealth. Acha mind set ya kua maisha ni kuajiriwa. Nakupa mfn. Jana humu JF nmeona mshahara wa graduate anae fanya kazi CRDB take hone almost laki nne na nusu. Nikatoa mfano kuna std 7 drop out yupo Kimara mwisho anafanya biashara ya kuuza chips daily profit yake ni laki moja baada ya kulipa vibarua wake, rent na kutoa mtaji. Means kwa mwezi he earns 3 ml ww graduate unakimbilia ajira unalipwa laki 5 kwa mwezi ni lini utamfikia huyo kijana? Tuwe wabunufu elimu tunazo zupata zitupe maarifa ya kujiajiri ili kutengeneza maisha mazuri. Tafta mtaji mzuri wa wastan then buni kitu ufanye chenye tija. Unakua huru then u make a lot of money. I hate hii system ya kukinbilia kuajiriwa baada ya kumaliza vyuo. Itawezekana wapi wahitimu wote kuajiriwa? Tubadl mtazamo tujiajiri ndo maana wasomi tunadharaurika sn nowadays. Muanzlsh wa fb alpga chn chuo akaenda kujiajiri aka make money then akaludi chuo kumalizia. Tujaribu kuiga mazuri yenye tija ktk maendeleo ya maisha yetu. Mungu akufunue kwa hili.
 
Wazo ulilitoa ni zuri sana,ila ungeenda mbele zaidi kumsaidia namna gani zaidi ya kuoata uwezo wa kujiali mbinu za kuoata mitaji,mbinu,za kubuni kirafi,mbinu za kuweka usimamizi mzuri wenye tija,mbinu za kuoata masoko endelevu ,na nyenzo zingine kumwezesha.Maana nadhatia tu bila uwezeshaji unamchanhanya.Pia ukumbuke serikali kwenye mitaala mingi hawafundishi ujasiriamali,hivyo kuwafanya wengi kutahatuki wamalizapo chuo nn wafanye.
 
Acha kuwaza umaskini huo. Knowledge opens the door to opportunity, achievement, success and wealth. Acha mind set ya kua maisha ni kuajiriwa. Nakupa mfn. Jana humu JF nmeona mshahara wa graduate anae fanya kazi CRDB take hone almost laki nne na nusu. Nikatoa mfano kuna std 7 drop out yupo Kimara mwisho anafanya biashara ya kuuza chips daily profit yake ni laki moja baada ya kulipa vibarua wake, rent na kutoa mtaji. Means kwa mwezi he earns 3 ml ww graduate unakimbilia ajira unalipwa laki 5 kwa mwezi ni lini utamfikia huyo kijana? Tuwe wabunufu elimu tunazo zupata zitupe maarifa ya kujiajiri ili kutengeneza maisha mazuri. Tafta mtaji mzuri wa wastan then buni kitu ufanye chenye tija. Unakua huru then u make a lot of money. I hate hii system ya kukinbilia kuajiriwa baada ya kumaliza vyuo. Itawezekana wapi wahitimu wote kuajiriwa? Tubadl mtazamo tujiajiri ndo maana wasomi tunadharaurika sn nowadays. Muanzlsh wa fb alpga chn chuo akaenda kujiajiri aka make money then akaludi chuo kumalizia. Tujaribu kuiga mazuri yenye tija ktk maendeleo ya maisha yetu. Mungu akufunue kwa hili.
Nimekupata mkuu mwenyewe nilimaliza chuo 2015 nikachukua masalia ya bum yalikuwa kama 1.5 ml hivi nikafungua biashara japo yakazalaulika kwa mtu mwenye bachela kufanya ila sasa nina miaka miwili kasolo mwezi mmoja kamtaji 7 ml naona kanaonekana na mengine mengi yakutumia pesa nimefanya TUACHANE NA MAWAZO YA KUAJILIWA
 
Back
Top Bottom