the galaxy a
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 183
- 110
Habari yenu wakubwa,Mimi ni kijana wa miaka 22 ninahitaji kufanya kazi ya kujitolea
asante mkuusearch online.tz ngos utapata contact utawasiliana nao
Jaribu compassion tanzaniaHabari yenu wakubwa,Mimi ni kijana wa miaka 22 ninahitaji kufanya kazi ya kujitolea katika shirika lolote la serikali au lisilo la serikali(NGO).
elimu yangu nina diploma ya maendeleo ya jamii na pia nina uzoefu wa kufanya kazi kwa muda katika dawati la jinsia na watoto mkoa wa Ruvuma..
sent using iphone 8
Uza iphone 8 jiajiriHabari yenu wakubwa,Mimi ni kijana wa miaka 22 ninahitaji kufanya kazi ya kujitolea katika shirika lolote la serikali au lisilo la serikali(NGO).
elimu yangu nina diploma ya maendeleo ya jamii na pia nina uzoefu wa kufanya kazi kwa muda katika dawati la jinsia na watoto mkoa wa Ruvuma..
sent using iphone 8
nipo songea kwa sasa
nitumie contact unielekeze vizuriunaweza kufanya kazi kigoma? kama unaweza tuna nafasi nyingi mkononi kwa kada tofauti na shirika halina utaratibu Wa kutangaza ni mwendo Wa kustuana, unajitolea siku 60 baada ya hapo ni Ajira.
Hello, nami naomba kama naweza pata nafasi, contact 0673216816unaweza kufanya kazi kigoma? kama unaweza tuna nafasi nyingi mkononi kwa kada tofauti na shirika halina utaratibu Wa kutangaza ni mwendo Wa kustuana, unajitolea siku 60 baada ya hapo ni Ajira.
Zinapatikanaje?unaweza kufanya kazi kigoma? kama unaweza tuna nafasi nyingi mkononi kwa kada tofauti na shirika halina utaratibu Wa kutangaza ni mwendo Wa kustuana, unajitolea siku 60 baada ya hapo ni Ajira.
nitumie contact unielekeze vizuri
sent using iphone 8
sawa mkuunitaku PM nafasi zilizopo then utaangalia where you fit
Na mm naomba uniunganishe kama ikiwezekanaunaweza kufanya kazi kigoma? kama unaweza tuna nafasi nyingi mkononi kwa kada tofauti na shirika halina utaratibu Wa kutangaza ni mwendo Wa kustuana, unajitolea siku 60 baada ya hapo ni Ajira.
Utaratibu wa kuapply upoje?unaweza kufanya kazi kigoma? kama unaweza tuna nafasi nyingi mkononi kwa kada tofauti na shirika halina utaratibu Wa kutangaza ni mwendo Wa kustuana, unajitolea siku 60 baada ya hapo ni Ajira.
Habari yenu wakubwa,Mimi ni kijana wa miaka 22 ninahitaji kufanya kazi ya kujitolea katika shirika lolote la serikali au lisilo la serikali(NGO).
elimu yangu nina diploma ya maendeleo ya jamii na pia nina uzoefu wa kufanya kazi kwa muda katika dawati la jinsia na watoto mkoa wa Ruvuma..
sent using iphone 8