Nahitaji shamba Mkuranga

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
717
Reaction score
75
Nahitaji shamba la Heka 10. Liwe barabarani, sio lazima Mkuranga hata mbele zaidi, ila isizidi 100km kutoka Dar. Bei isizidi 100,000/=/Heka. Contact 0779420000
 
Kuna shamba eka 3 barabarani lakini si barabara kubwa. Hili kama kilomita 5-10 kutoka Mkuranga mjini, sina uhakaika na kilomita.

Kuna lingine eka 71 nalo pia si barabara kubwa ya lami. Hili kilomita 23 kutoka Mkuranga mjini.

Bei maelewano.
 
Hilo la heka 3 bei ikoje?
 
Kuna shamba eka 3 barabarani lakini si barabara kubwa. Hili kama kilomita 5-10 kutoka Mkuranga mjini, sina uhakaika na kilomita.

Kuna lingine eka 71 nalo pia si barabara kubwa ya lami. Hili kilomita 23 kutoka Mkuranga mjini.

Bei maelewano.
Hizo 71 unaweza kuuza moja au lazima zote? Na ni ulekeo upi, Panzuo, Mamdimkongo, Nasibugani aaaau Shungubweni au Kimanzichana?
 
Naweza kuuza kuanzia eka 10 kwa sasa, Shungubweni. Ten hili ni zuri sana kwani mpaka wake ni kijito kinachokuwa na maji karibia miazi 8 kwa mwaka. Na ukichimba mita moja tu maji mengi, matikiti yanakubali sana.
 
bei gani?Shungubweni nimefika
 
Duuuuh!  mkuranga ekari Milioni 8!! Mweeeh! Tena Sio beach wala halipo barabara kuu!

Ni shamba si kiwanja.

Mkuranga ardhi ni mali sasa hivi, tena hiyo baada ya miezi miwili au mitatu utakuta imeshapanda.
 
Nahitaji shamba la Heka 10. Liwe barabarani, sio lazima Mkuranga hata mbele zaidi, ila isizidi 100km kutoka Dar. Bei isizidi 100,000/=/Heka. Contact 0779420000
Ninashamba Bigwa wilaya ya mkuranga ni 1km kutoka barabara kuu upande Wa kushoto kama unatokea dar. Bei nice 1.5m kwaheka1.
 
Safi sana. Bigwa napafahamu Kata ya Mwarusembe. Ni jirani sana na barabara. Ngoja nijipange
 
Mkuu lipo dodoma sehemu gani exactly?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…