Shalom, habarini za kutwa, nina interest ya kununua shamba maeneo ya kuanzia Kibaha kwenda hadi karibu na Mlandizi hapo katikati, kuanzia heka moja hadi tatu.
Isiwe karibu sana na lami, mwenye ufahamu naomba anijulishe, ila isiwe ya wapigaji wale wanaotaka pesa ya mteremko kwa utapeli.
Najua wapo, barikiwa.
Isiwe karibu sana na lami, mwenye ufahamu naomba anijulishe, ila isiwe ya wapigaji wale wanaotaka pesa ya mteremko kwa utapeli.
Najua wapo, barikiwa.