nina shamba la heka 15 maeneo ya horohoro Tanga. liko kilomita sita kabla ya kufika mpaka wa horohoro, ni kilomita 65 toka Tanga mjini na.kilomita 100 kuelekea Mombasa. Kwenye shamba hilo nimechimba lambo kubwa la maji na kuna nyumba ya vyumba vitatu, kuna banda kubwa.la kuwwza kuweka kuku wasiopungua 600 kwa mpigo. mazao yanayokubali hapo ni tikiti, bamia, pilipili aina zote, tango, karanga, kunde nk. kuna water pump kubwa ya maji. Ukiwa na nguvu ni kufanya.drip irrigation. nitafute kwa namba 0764475317. shamba liko mita 300 pembeni ya barabara kubwa ya lami Tanga-Mombasa.