mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Habari waungwana...Nina laptop yangu Toshiba satellite niliinunua kitambo kidogo,sasa ipo slow sana japo ram ni gb 4,naomba mnisaidie wapi ntapata service z software na hardware pia maana hata dvd rom yake itakuwa imekufa.
NB
nahitaji kuformat,kuweka window mpya na program mpya na kubadilisha dvd rom.
mwenye ujuzi wote huo an pm,kwasas nipo kahama ila tarehe 28 mwezi huu ntakuwa Dar.Natakunguliza shukrani zangu.
NB
nahitaji kuformat,kuweka window mpya na program mpya na kubadilisha dvd rom.
mwenye ujuzi wote huo an pm,kwasas nipo kahama ila tarehe 28 mwezi huu ntakuwa Dar.Natakunguliza shukrani zangu.