drmaxmhozya Member Joined Aug 7, 2020 Posts 51 Reaction score 48 Dec 31, 2020 #1 Nahitaji nipate sehemu nzuri ya kuweka steshenari kama kuna mtu atakuwa anafahamu location nzuri affordable anisaidie ili niweze kuhamisha ofisi yangu
Nahitaji nipate sehemu nzuri ya kuweka steshenari kama kuna mtu atakuwa anafahamu location nzuri affordable anisaidie ili niweze kuhamisha ofisi yangu
Mwita Mtu Mrefu JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 739 Reaction score 1,116 Dec 31, 2020 #2 Muwe mnajieleza vzr kupunguza maswali. Uko mkoa gani? Ofa yako shi ngap kama kodi? Jf mbona siku hizi ina watu hawapendi kujielez kwa kirefu?
Muwe mnajieleza vzr kupunguza maswali. Uko mkoa gani? Ofa yako shi ngap kama kodi? Jf mbona siku hizi ina watu hawapendi kujielez kwa kirefu?
drmaxmhozya Member Joined Aug 7, 2020 Posts 51 Reaction score 48 Jan 1, 2021 Thread starter #3 Niko dsm nahitaji garama ianzie sh 60 hadi 80 yani isizidi Sana hapo nahitaji niwekeze vizuri eneo la awali nililopanga nahitaji nihame
Niko dsm nahitaji garama ianzie sh 60 hadi 80 yani isizidi Sana hapo nahitaji niwekeze vizuri eneo la awali nililopanga nahitaji nihame
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,077 Jan 1, 2021 #4 Biashara ya Stationary ukipata Maeneo ya Mabibo Hostel au Survey itakufaa sana kwa ajili ya uwepo wa Wanafunzi wa UDSM.
Biashara ya Stationary ukipata Maeneo ya Mabibo Hostel au Survey itakufaa sana kwa ajili ya uwepo wa Wanafunzi wa UDSM.
drmaxmhozya Member Joined Aug 7, 2020 Posts 51 Reaction score 48 Jan 1, 2021 Thread starter #5 mmteule said: Biashara ya Stationary ukipata Maeneo ya Mabibo Hostel au Survey itakufaa sana kwa ajili ya uwepo wa Wanafunzi wa UDSM. Click to expand... Aaah sawa mabibo hosteli sindiyo brother kwa pale location zinapatikana Sana
mmteule said: Biashara ya Stationary ukipata Maeneo ya Mabibo Hostel au Survey itakufaa sana kwa ajili ya uwepo wa Wanafunzi wa UDSM. Click to expand... Aaah sawa mabibo hosteli sindiyo brother kwa pale location zinapatikana Sana
drmaxmhozya Member Joined Aug 7, 2020 Posts 51 Reaction score 48 Jan 1, 2021 Thread starter #6 Room 106 said: Muwe mnajieleza vzr kupunguza maswali. Uko mkoa gani? Ofa yako shi ngap kama kodi? Jf mbona siku hizi ina watu hawapendi kujielez kwa kirefu? Click to expand... Niko dsm dada ofa yangu Mimi ni kuanzia 60 mpaka 80 isizidi hapo mana ndo naanza
Room 106 said: Muwe mnajieleza vzr kupunguza maswali. Uko mkoa gani? Ofa yako shi ngap kama kodi? Jf mbona siku hizi ina watu hawapendi kujielez kwa kirefu? Click to expand... Niko dsm dada ofa yangu Mimi ni kuanzia 60 mpaka 80 isizidi hapo mana ndo naanza
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,209 Reaction score 27,977 Jan 1, 2021 #7 Twende savey mkuu tukapambane 0628731833