HABARI WANA JF.
Naomba nijulishwe duka gani hapa DSM naweza kupata hivi vihonda vidogo ambavyo havina gear [automatic] kilichotumika nje ya nchi. pia mwenye ufahamu anijuze bei zake, nahitaji yenye jina lolote e.g. honda, yamaha, toyo, e.t.c.

Mkuu ushapata tayari? Kuna jamaa yangu anayo from Italy ameitumia 4000km tu. Anaiuza 2.2M. Na mimi nnayo pia ila yangu imeenda 10000km nauza 1.5M. Kama uko interested ni PM.

Kwahiyo kaka wewe ulijua "viscooter" ni sh ngapi? Ulijua laki 3 nini? Dah pole mkuu ila ujue hizo scooter sio za kichina kama hizo san lg, fekon etc. Hizo zinatoka Italy zinakuja na km 0. Nenda kaulizie bei zake pale Vision Imports Ltd karibu na Maisha Club utaambiwa zinauzwaje then urudi hapa jamvini utoe feedback.