Nahitaji SATA hard drive ya laptop GB 500

Nahitaji SATA hard drive ya laptop GB 500

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,288
Reaction score
5,763
Wapendwa,

Laptop yangu naona imepata shida ya hard drive.

Nahitaji hard drive tajwa hapo juu. Nipo Arusha.

Naomba unijulishe Kama unayo na Kama naweza kuipata Arusha na bei yake

Asanteni
 
Wewe Tamimusalim nafikiri huna uzoefu na Computer hard ware; SATA ni very common na urahisi wake ni kuwa inaingiliana na computer nyingi

Inno brown nime ku pm
 
Back
Top Bottom