Nahitaji sana Busara zako kwa hili.

Nyumba ndogo siyo issue kabisa. Achana na hayo maneno ya mitaani maana angalia waliopitia hizo style za maisha wakueleze ugumu wake ulivyo. Maana hapo utakuwa na familia mbili pia ndo mwanzo wa kulogana na kuanza kusababisha matatizo mengi zaidi kwenye familia yako. Jitunze kijana ukioa unaishi na mkeo kwa shida na raha hayo mengine ya kupita tu. Kama hujaridhika na mke unayetaka kumuoa then usioe kabisa. Vuta subira ujipange vizuri. Katika hali ya kawaida ukimpenda mkeo kwa dhati sidhani hata kama utakuwa na muda wa kurandaranda.
Hommie kwani ile "magic moment" umekunywa saa ngapi mbona unatoa mapoint hapa..au hangover hii?
 
Kwani huyo wa nyumba ndogo mwanaume? La hasha ni mwanamke ambaye naye anahitaji penzi akoshe roho yake pia.........with a light touch....

Wadau naombeni mnifundishe kupost topic.
nenda vyuo vinavyofundisha computer course hatuna muda wa kufundisha hapa, utatulipa?
 
Wana JF poleni sana na Mihangaiko ya maisha na wale wa Arusha nawapa Pole sana kwa Matatizo yote yaliyowapata hadi kupoteza maisha ya watu basi Mungu azilaze roho za wapenda maendeleo wote waliokufa kwenye harakati.....Amen.

Lengo nikuwaomba ushauri kwenu najua mtanisaidia ili niweze kufanikiwa kwa hili ,sasa nataka kuagana na Ukapera na kuingia katika ndoa kama Mungu atanijalia.
Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa ukioa lazima uwe na nyumba ndogo ili siku Mkeo akikuudhi basi uende nyumba ndogo ukajiliwaze, kwa kufanya hivyo basi unaweza kujikuta huwi na mgogoro na ndoa siku zote za maisha yako.Kwani nyumba ndogo inajua sana kufariji hasa pale unapokuwa umegombana na mkeo.

1..Je Ni kweli nikioa basi niwe na Nyumba ndogo?
2..Je Ni aina gani ya Nyumba ndogo niwe nayo? ( Mmama, Msichana mdogo,au shangingi?)
3. Na niwezaje kuficha mke wangu asijue?

Nisionekane natania kwa hili maana wapo wengi wameoa na wana nyumba ndogo kama una utaalamu wa kumiliki nyumba ndogo toa ushauri hapa na kama ni vibaya kuwa na nyumba ndogo pia nipe sababu.

Nawasilisha kwenu.........
faida za nyumba ndogo ni nyingi sana

1. Inakuliwaza pindi ukiwa umekwaruzana na mkeo
2. Inakupa mahaba kama haina akili nzuri na kufanya mambo makubwa
3. Inatoa mtandao B
4. Zinajua sana kukuliwaza pindi unapopatwa na shida za kidunia
5. Ni sehemu nzuri ya kutumia ziada ya kipato chako
6. Hazishiki mimba na ikitokea akapata anaichoropowa so ni mahabati miaka nenda rudi
7. Wadau wa infi naomba muongeze faida nyingine please.........................
 
kwa kuongeza tafuta nyumba ndogo mmama ili uwe unakulea ukiishiwa au kama wewe ni mpenda mitindo mingi ya kitandani nashauri Shangingi ila unatakiwa usiwe na wivu
 
kwa kuongeza tafuta nyumba ndogo mmama ili uwe unakulea ukiishiwa au kama wewe ni mpenda mitindo mingi ya kitandani nashauri Shangingi ila unatakiwa usiwe na wivu
Duuuu sasa tena shangingi?
 
Hapa nimekubali ushauri huu na nimebadili mtazamo wangu kabisa
Nyumba ndogo siyo issue kabisa. Achana na hayo maneno ya mitaani maana angalia waliopitia hizo style za maisha wakueleze ugumu wake ulivyo. Maana hapo utakuwa na familia mbili pia ndo mwanzo wa kulogana na kuanza kusababisha matatizo mengi zaidi kwenye familia yako. Jitunze kijana ukioa unaishi na mkeo kwa shida na raha hayo mengine ya kupita tu. Kama hujaridhika na mke unayetaka kumuoa then usioe kabisa. Vuta subira ujipange vizuri. Katika hali ya kawaida ukimpenda mkeo kwa dhati sidhani hata kama utakuwa na muda wa kurandaranda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom