Nahitaji Samsung Galaxy S4 mpya

Mpendasifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
277
Reaction score
111
Wakuu nahitaji kununua simu tajwa hapo juu, iwe ni orijino na mpya bajeti yangu ni laki 6 (Tshs.600,000/=). Mwenye nayo anipm namba yake tufanye biashara.
 
S4 Mini Full boxed sealed. Tshs 450,000/=


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu ungekwenda dukani hata kama isipokuwa S4 unawezapata simu nzuri sana.
 
hiyo avatar yako, hiyo simu si mtu anaweza kukuachia jamani, maana ukimtolea hilo bastola anakimbia.
 
Wakuu nahitaji kununua simu tajwa hapo juu, iwe ni orijino na mpya bajeti yangu ni laki 6 (Tshs.600,000/=). Mwenye nayo anipm namba yake tufanye biashara.

Me ninayo S4 mini original from uk, itachukua siku 7 mpaka ww kuipata, kama vp ni pm tufanye biashara..!
 
Piga namba hii 0713 806 766 nkupe hyo sim nami unipe hela.
 
zipo s4 mpya kabisa na all accessories kwa sh. 600,000/= original jwa anaehitaji nicheki via 0716651695
 
impossible impossible impossibleeeeeeee
impossible kwako wewe angalia uzi nloutoa kuhusu simu check na bei nilizoandika watu wanajipatia simu original kwa bei rahisi wewe unasema impossible impossible .km huamini nitafute via 0716651695 uje uone mzigo
 
S4 imetumika miezi 2 bei 550,000 nakupa chaji na headphone mpy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…