Nahitaji redio ya sony au kenwood mpya

Nahitaji redio ya sony au kenwood mpya

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
606
Jamani nauliza kama naweza kupata redio yenye CD tatu,na iwe na uwezo wa kusoma USB kwa bei ya 350000 Tsh,haraka sana
 
Ya mchina inapatikana nenda kko kama uko dsm
kila la heri,ushauri kama unapenda mziki unaochuja nunua kitu bora,changa changa japo ifike tsh 500,000 utapata ya ukweli
 
jaribu kwenda pale clocktower kwenye duka la LG
 
Back
Top Bottom