Nahitaji Rafiki wa kike

Nahitaji Rafiki wa kike

Joined
Dec 18, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Nahitaji rafik wa kike umri miaka 18-22.awe na akili timamu.elimu form 4 na kuendelea.ma mail adress ni,ATHUMANMKALAHASHEIN@NOKIAMAIL.COM.ntafute hapa ndugu.
 
Inaonekana ww hujasoma unataka kubebwa!!chukua aliye (O)umsomeshe.
 
Duh! Polesa athuman,mwanamke huwa hatafutwi mtandaoni,hayo ni mambo ya ulaya na US,sisi bado sana,utaambulia kupata kahaba tu!
 
Duh! Polesa athuman,mwanamke huwa hatafutwi mtandaoni,hayo ni mambo ya ulaya na US,sisi bado sana,utaambulia kupata kahaba tu!

Ahaaa mwache mwenzako wewe avune alichopanda,kwani unadhani kila mtu anaweza kutema vocal mpaka mashabiki wakamwelewa?
 
Heheheee... Hizo comments noma sana,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom