Nahitaji mchumba (mwanamke)

kuntumbyanga

Member
Sep 18, 2022
10
10
Habari,

Nahitaji rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo;
  • Muislam
  • Apatikane mkoa wa mtwara, wilaya masasi, nanyumbu au mtwara mjini
  • Awe mfupi wakati(150-170cm)
  • Akiwa mmakonde itapendeza zaidi
  • Pesa isiwe kipaumbele kwake
  • Mpole kidogo
  • 18-25yrs
  • Asiwe na mtoto
  • Muwazi
  • Hajawahi kuolewa
  • Muelewa
  • Aijitambue
  • Awe tayari kupima VVU na homa ya ini

Sifa zangu
  • Muislam
  • Mfupi wastani(162cm)
  • Mmakonde
  • Niko mkoa wa mtwara
  • 29yrs
  • Mpole
  • Muelewa sana

Mwenye utayal na hili naomba aje PM, lakini pia awe serious na hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom