Mali Akili
Member
- Oct 22, 2016
- 10
- 5
Mimi nina mke lakini kuna vitu navikosa navihitaji toka nje. Nahitaji mwanamke atakayeelewa kuwa mimi nina mke na atakayeelewa mipaka yetu. Mahusiano yetu yatakuwa ya kimapenzi na kushirikiana katika raha na shida. Najua kuna wanawake wengi wanakosa raha katika mahusiano yao, sasa ukidhani kuwa unahitaji kuwa na mtu kama mimi karibu. Watu wengi wanaweza kunishangaa lakini hii ni hali halisi tunaishi maisha halisi si ya kuigiza na haya mambo yanatokea sana kwenye mahusiano tusijifanye kuwa wote tunafaidi mahusiano yetu la hasha wengi tuna matatizo katika mahusiano yetu lakini kwa sababu moja au nyingine hatuwezi kuyakatisha, hivyo yatubidi tutafute faraja toka sehemu nyingine. Ninayemuhitaji awe na wasifa ufuatao, awe anajua wazi kuwa mimi nina mahusiano mengine ya kudumu na hivyo kutakuwa na mipaka ya mahusiano yetu na lazima tuheshimu mipaka hiyo, awe mwenye kujimudu kimaisha kwa maana kuwa awe economically sound na mimi simtegemei yeye kwakuwa niko vizuri sana na kila tutakapokutana na kutoka kwenda popote pale hata ikiwa nje ya nchi gharama zote ni zangu ila sitaki mambo ya kupigwa mizinga kusaidia shida za nyumbani kwake. Awe intelligent ili tuweze vilevile kushirikiana katika mawazo na fikra muhimu za kikazi/kibiashara,jamii na kifamilia, awe na akili kwa kweli na mwenye uwezo wa ku present hoja sio mtu wa kunisikiliza mimi tu, nataka mwanamke aliye critic.
Karibu kwa aliye serious ani pm, tuongee vizuri na tupeane terma za mahusiano yetu kwa heshima na kujali mpaka.
Karibu kwa aliye serious ani pm, tuongee vizuri na tupeane terma za mahusiano yetu kwa heshima na kujali mpaka.