ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,
niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy, now the problem is sina mtu ninaemfaham huko na sijui hata cost of living ya huko, thou nafaham nauli yake.
hivo kama kuna mtu yupo huko hasa nairobi please naomba nikufaham ili kama ikiwezekana nijue hotel nzuri ya gharama ya kawaida lkn nzuri na mengine, naomba kuwasilisha.
Sijui chochote kuhusu huko kaka yanguhata wewe waweza nisaidia kama una idea dada angu
ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,
niende direct kwenye mada, mke wangu anapenda sana churchill show ya Kenya, hivo mm kama mumewe nimepanga nimpeleke december hii kenya ili ainjoy, now the problem is sina mtu ninaemfaham huko na sijui hata cost of living ya huko, thou nafaham nauli yake.
hivo kama kuna mtu yupo huko hasa nairobi please naomba nikufaham ili kama ikiwezekana nijue hotel nzuri ya gharama ya kawaida lkn nzuri na mengine, naomba kuwasilisha.
mkuu maisha haya ukiyapeleka hivo yanakua magumu sana, kwanini ulipe hela uwanajani kuangalia simba na yanga na unaweza kuuona kwenye TV kwa jero yako tu? hata huwez kuwa masikini kwa kufanya hivo.Churchil show mwambie aziangalie youtube.
Ya nn kuchoma mipesa kufuata kitu ambacho una access nacho toka hapo ulipo?
Acha matusi.Mimi piaa ni mfuatiliaji mzurii sana wa churchill show
Unaeza ukanipa mkeo nkaendaa nae kenyaa kutizama nna uzoefu na icho kipindi
Ntamrudisha salama
mkuu maisha haya ukiyapeleka hivo yanakua magumu sana, kwanini ulipe hela uwanajani kuangalia simba na yanga na unaweza kuuona kwenye TV kwa jero yako tu? hata huwez kuwa masikini kwa kufanya hivo.
maisha ni kula, kunywa na kuvaa (biblical)
hilo yai lililokuleta lingetupwa tu chooni, huna adabu
Mkuu elewa kwamba ile Churchill show inaruka every Thursday in a week days. Sasa wewe utakaa mwezi mzima kuzisubiria hzo alhamisi ili mkeo aweze kuenjoy? Au shida yake n kuwaona kina Jessy,Churchill, Hamo etc? Pia elewa kwamba Churchill show inamzunguko wake kwa nchi nzima unaeza kukuta December yote hawapo Nairobi wapo kwa county tofauti tofauti mfano meru,eldoret,mombasa,kisumu,nakuru etc je utazunguka nae kuzifuat hzo shows?ndugu poleni kwa majukumu na heri ya weekendi,