Habari wana Jf, niko katika hatua za mwisho kukamilisha ranchi ya mfano ya ufugaji wa Punda hivyo nahitaji watu serious watakaoweza kuniuzia punda kwa bei nzuri.
Nina mpango wa kuanza na punda 1000. mwenye kuweza kuwapata tuwasiliane (pm)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.