Nahitaji ps2 zinazocheza flash nipo Arusha

Nahitaji ps2 zinazocheza flash nipo Arusha

una shilling ngapi nikuwekee mfumo wa flash

Hiyo Juu ya Mteja kuweka mfumo wa frash me nauza jinsi ilivyo...! Unafanya kiasi gani kama nikipata mteja anayetaka kufanyiwa
 
Bei sina hata haja ya ku pm ni 150,000 mwisho kabisa 130,000 nipigie tufanye biasharaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom