NAHITAJI PRINTER ZA KISASA NA PRINTER YA KUSAFISHA PICHA

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,824
Reaction score
2,199
Habari Salamu kwa kila mmoja!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji printer za aina hizo mbili ya kuprint dokomenti pamoja na picha, pamoja na ushauri wenu kwani nahitaji kufungua biashara ya stationery.
Hivyo naomba ufahamu wenu wakuu katika hiyo industry.
Shukrani kwa ushauri mtakaonipa...!!!
 
Uko wapi Mkuu wewe
 
Ingia mtandao wa Jumia utaweza kuchagua na kuweka oda. Watakuletea huko ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…