used sikushauri tafuta epson l220 ni bei nzuri 400k..ni mkomboziHabari wakuu, mwenzenu nahitaj kuongeza huduma ya kusafisha picha za kawaida pamoja na passportsize ktk ofis yangu,niko maeneo ya kijjn ningependa kupata walau EPSON used naweza skuipata wap na kwa bei gan? Niko Bukoba
Telemkia dar ndio mwisho wa electronics zote, jimwage kule postaHabari wakuu, mwenzenu nahitaj kuongeza huduma ya kusafisha picha za kawaida pamoja na passportsize ktk ofis yangu,niko maeneo ya kijjn ningependa kupata walau EPSON used naweza skuipata wap na kwa bei gan? Niko Bukoba