mkuu nyingi sasa hivi zipo ila kwa bongo ni ngumu kuipata.
Hizo za simu zenyewe yamejaa makapi tu kulle aggrey ngumu kupata za maana.
kama una uwezo agizia online, powerbank.kama dell companion ambayo output yake ni 19.5V inayoweza charge laptop na ina mah kama 18,000 hivi.