Habari wadau
Nahitaji kununua pikipiki aina ya Fekon, au SUNlg, kinglion kati ya hizo kama itapatikana mojawapo
offer yangu ni sh800,000/= tu iwe katika hali nzuri isiwe imeshatumika muda mrefu sana yaani iwe
ya kuanzia miezi5 kushuka chini pls ninahitaji sana kuinunua kwa mahitaji yangu binafsi
mwenye nayo awasiliane nami kwa PM
ASANTE