Hale Janja
Member
- Dec 16, 2019
- 5
- 3
Habari,
Nakaribia kufungua kampuni ya kutoa ya courier services (delivery), na nimeona gharama za kununua vyombo vya moto kama pikipiki, Tricycles ni kubwa na nikaona ni rahisi kama naweza kutumia pikipiki za mkataba wa miezi 10 hadi 13 kupunguza gharama za kuanzia.
Hivyo nilikua nahitaji mtu anaefahamu mtu anaetoa, duka au mwenye nayo pikipiki, bajaj au zile toyo za matairi 3 kwa mkataba anisaidie.
Nasoma comment zenu