Upo dar maeneo gani wewe? Jaribu kutafuta ya Canon halafu ukishaipata uhakikishe inafanya kazi vizur na pia upate summary ya matengeno yake maana zile zikishaanza kuharibika h
zitaweza hata kuhitaji service kila siku

Nicheck inbox if your serious Nauza IR2520 mpya 2.2m nipo Dar na mikoani nasafirisha kwa gharama nafuu, usafiri kwa eneo chini ya 10km toka dukani ni juu yangu.