Wakuu, ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ninaomba kama kuna mwenye PDF ya vitabu vifuatavyo anisaidie:
- Principles of Physics by Nelkon
- Abott Physics na
- Lambert Chemistry
Vyote vya O-level
Sent from my Infinix X682B using
JamiiForums mobile app