Hili muhimu kabisa na lahitaji kuanzishia nyuzi, watu wanapoteza pesa zao kwa kununua vitu hatarishi na vyenye ubora hafifu kupita maelezo.Nenda duka la vifaa vya umeme nunua pasi ya phiips, ulizia bei mara nyingi inakuwa kati ya 30 elf hadi 40. Usinunue vifaa vya umeme sokoni au kwa machinga ni HATARI .
mkuu kama hili nalo ni la kuuliza basi unahatari ya kuingizwa mjiniMkuu, hii Philips ni aina/kampuni ya Pasi....?
28000 mkuu wapi huko !!! nije kujumua ?Nenda duka la vifaa vya umeme tafuta philips ni nzuri kwa kudumu bei ni kati ya 28,000/= mpaka 32,000/= feki wanauza machinga kuanzia 15,000/=.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] wee jamaa sio MTU mzur kabisamessi au xavi wanazo nzuri sana hasa zile za mwisho
Nilinunua Dom huko duka la kazimoto sikumbuki vizuri ila ni kati ya 28 mpaka 32 mkuu.28000 mkuu wapi huko !!! nije kujumua ?
linapatikana mitaa gani hilo duka mkuu ?Nilinunua Dom huko duka la kazimoto sikumbuki vizuri ila ni kati ya 28 mpaka 32 mkuu.
6th streetlinapatikana mitaa gani hilo duka mkuu ?
sawa sawa mkuu6th street
Unataka kununua kampuni au pasi,nenda kanunue pass ya phillips.Mkuu, hii Philips ni aina/kampuni ya Pasi....?
Aisee.Nenda duka la vifaa vya umeme nunua pasi ya phiips, ulizia bei mara nyingi inakuwa kati ya 30 elf hadi 40. Usinunue vifaa vya umeme sokoni au kwa machinga ni HATARI .
Sawa Mzaramo wa Dar ulozaliwa mjini na kukulia mjini me niaje na Uchinga wangu BUT mzigo wa SAA niliagiza from DAR.. So now naitumia
HV kuna sehemu niliyoandika kuwa hyo Pasi naenda kufanyia nn... Kwan kuna mtu mwenye akili timamu dunia hii ambaye hajui matumizi ya Pasi...?CHINGA mbona kama povu mzee haikuwa na haja ya kutaja hiyo pasi unaifanyia nini unadhihirisha ulimbukeni wako Si vibaya wewe kununua PASI ila haikuwa na haja ya sisi kujua unaenda kifanyia nini huu ni Ulimbukeni.