Nahitaji ofisi ya kupanga

May 8, 2015
52
30
Natafuta ofisi ya kupanga ya bei nafuu, barabara ya Ali Hassan Mwinyi kuanzia maeneo ya Morocco hadi Posta. Offer yangu ni Tsh. 300,000/= kwa mwezi. Tuwasiliane kupitia: 0657878416.
 
Nenda pale magogoni,ofisi ipo wazi,mpangaji kamaliza mkataba wake na kaondoka juzi,uliza zilipokuwa ofisi za WAMA,nafasi ipo.
 
Back
Top Bottom