Prince Gasper94
Member
- Feb 26, 2013
- 13
- 4
Habari zenu wana JF msaada kupata nyumba yakupanga MASTER BEDROOM cost 100,000/= if not master basi kiwe btn 50000 up to 100000 pesa tasilimu ya Tanzania.
maeneo ya Mwenge, Sinza,Makumbusho,Kijitonyama pasiwe mbali sana na Usafiri wa Daladala.
#samahanikwahivyovigezokamavitakuwakero
maeneo ya Mwenge, Sinza,Makumbusho,Kijitonyama pasiwe mbali sana na Usafiri wa Daladala.
#samahanikwahivyovigezokamavitakuwakero