Nahitaji nyumba ya kupanga

Nahitaji nyumba ya kupanga

kideko

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
296
Reaction score
217
Nahitaji Nyumba ya vyumba viwili, sebule, jiko na choo cha ndani. Bajati 200000. Dalali hatakiwi. Mwenye nayo ani Pm.
 
Huu ni msimu mzuri kutafuta nyumba.
 
Ungesema na maeneo unayopendelea ili madalali waje na jibu muafaka
Dalali hatakiwi, ila maeneo ni , Kimara, ubungo, Tabata , Ukonga kwa ujumla Karibu na Mjini. Msisitizo Dalali hatakiwi.
 
  • Thanks
Reactions: OTG
Dar tu mkuu
Basi bandiko lako linamapungufu maana ninavoelewa hata huko Dar kuna preference ya location. Isijekua wataka kuishi Kimara au Ubungo lakini utaletewa nyumba ipo Nyantera au Bongo la Ndege au hata Gezaulole kama sio Mwasonga....maana kote huko ni Dar
 
ni nyantira kamanda..!!
 
Mwenye Nyumba wataelewa tu, na pia Mwenye Nyumba atakuja Pm, awezi kukoment.
 
Iko nyumba yenye vigezo hivyo hku mwanyamala nyuma ya hospital lkn bei 250000
KWA mwezi

Ova
 
Mimi natafuta chumba maeneo ya karb na Mwendokasi, Kiwe self na maji yawepo
 
Niachie unapohama mkuu,
Mie napataka apo. Chumba cha giza, choo cha nje wapangaji 8, maji ya canter na gari haifik kwa tsh 30,000 fresh
 
Nashkuru jana nimemaliza hizi harakat za kutafta nyumba maana si za mchezo mchezo kupata ya vigezo u uvyovitaka na bajet yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom