stephot JF-Expert Member Mar 1, 2012 15,843 22,962 May 9, 2012 #21 Ahhhhhhhhhhh,kaka!unataka kuzindua na shem,haya bwana ongezea pia iwe na madirisha ya aluminium maana kule sinza mi ninavyofahamu nyumba ziko karibu karibu sana na ninavyokuhisi ulivyo na kiu na huyo shem watu hawatalala siku hiyo.
Ahhhhhhhhhhh,kaka!unataka kuzindua na shem,haya bwana ongezea pia iwe na madirisha ya aluminium maana kule sinza mi ninavyofahamu nyumba ziko karibu karibu sana na ninavyokuhisi ulivyo na kiu na huyo shem watu hawatalala siku hiyo.
Mkare_wenu JF-Expert Member Mar 11, 2011 1,714 442 May 9, 2012 #22 TUMY said: Ebwana na mie nina tatizo kama lako natafuta nyumba kweli ila ya rum tatu, ukumbi pamoja na rum bili za kulala. Click to expand... mwe!ukumbi wa nini mkuu TUMY ,unataka kufungua club? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TUMY said: Ebwana na mie nina tatizo kama lako natafuta nyumba kweli ila ya rum tatu, ukumbi pamoja na rum bili za kulala. Click to expand... mwe!ukumbi wa nini mkuu TUMY ,unataka kufungua club?
T TUMY JF-Expert Member Apr 22, 2009 705 93 May 10, 2012 #23 Mkare_wenu said: mwe!ukumbi wa nini mkuu TUMY ,unataka kufungua club? Click to expand... Thanx Mkare_wenu for ur concern, umenifurahisha, ukumbi nilikuwa na maana ya sitting room.
Mkare_wenu said: mwe!ukumbi wa nini mkuu TUMY ,unataka kufungua club? Click to expand... Thanx Mkare_wenu for ur concern, umenifurahisha, ukumbi nilikuwa na maana ya sitting room.