Nahitaji Nyumba ya Kupanga, Sinza, Kijitonyama, Mwenge, Savei Tsh 150,000/-

Ahhhhhhhhhhh,kaka!unataka kuzindua na shem,haya bwana ongezea pia iwe na madirisha ya aluminium maana kule sinza mi ninavyofahamu nyumba ziko karibu karibu sana na ninavyokuhisi ulivyo na kiu na huyo shem watu hawatalala siku hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom