Nahitaji Nyumba Ya Kupanga Arusha

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,277
Reaction score
4,523
Habarini?

Nahitaji Nyumba ya kupanga ndani ya jiji la ARUSHA maeneo ya Sakina itapendeza zaidi iwe na vitu hivi:

1. Inajitegemea peke yake kuanzia lango kuu la kuingilia na uzio wake.

2. Iwe na vyumba vitatu vya kulala

3. Maji na umeme viwe vya uhakika

4. Mwenye Nyumba aipende Nyumba yake

5. Kodi iwe inaweza kulipika Bila wasiwasi namaanisha isiwe ghali

Kama una hyo Nyumba niwekee hapa na mawasiliano yake ntakupigia Mara Moja ukiweka picha itapendeza sana
 
Piga 0759174471 ukishapata uje pm kunoshukuru.mimi sio dalali na sihitaji pesa.
Huyo ni dalali wangu mwaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…