Nahitaji nyumba ya kununua kijichi D'salaam

Nahitaji nyumba ya kununua kijichi D'salaam

Dr. Tembele

New Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Nahitaji nyumba ya kununua maeneo ya kijichi dsm ya bei kati ya tsh milioni 100 mpaka 150.

Iwe na eneo kubwa, na ni ya kisasa ambayo imekamirika siyo ya kuikarabati tena.

Mwenye anayo apige picha na aielezee ilivyo kisha anitumie kwa email hii: tembelemwangingo@gmail.com

Kama wewe ni dalali basi faida yako isizidi asilimia 5 na bei isipaishwe maana nitajuwa.
 
Nina nyumba ipo mbagala charambe kwa mbiku. Ipo karibu na barabara ya kwenda chamaz. Ina vyumba vi3, master bedroom na stoo yake, sebule kubwa futi 24 kwa 15, jiko, store, choo na bafu vyote ndani, baraza nyuma na mbele, shimo la choo futi 12, zege la nguvu kabla ya kulazwa tofal za msingi, umeme, maji, full gypsum & full tiles. BEI MILION 40 fasta.. 0715719171
 
Back
Top Bottom