Nahitaji nyumba Tandika/temeke-350,000 maximum.

Nahitaji nyumba Tandika/temeke-350,000 maximum.

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Wakuu nahitaji nyumba ya kuishi kwa miezi 12.
1)Iwe sehemu salama
2)vyumba 2 vya kuishi,ka sitting room na kajiko.
3)Inaweza kuwa imekuwa finished au la.
4)maji si tatizo
5)umeme si tatizo.
6)karibu na daladala na gari iweze kuingia ndani.
7)gate za milango ya kuingilia ndani
8)madirisha salama
9)iwe mtaani
10)Tusiishi zaidi ya familia 2 kwenye compound hiyo.
11)Tandika simaanishi Yombo.
uwezo wangu TZS 350,000.00
mengine kama yana utata nitauliza.
 
Una uhakika kaka? Tandika ya leo si ya mwaka 47, hasa kwetu sisi maeneo ya magorofani kuna (matawi ya) vyuo viwili, tena vya serikali sasa ukisema laki inatosha utakuwa unakosea, labda laki na 80 mpaka 250, maana kwa hesabu ya haraka ni vyumba 3 + jiko na parking kabisa.........!!!!!
 
Bado nahitaji wakuu,nyingi nilizopata ni za uani.350,000 nimeweka ndio maximum.Siwezi kutegemea nyumba yenye quality kubwa ikawa bei rahisi.Najua bei ni rahisi lakini nikipata nzuri zaidi nitaichukua kama bei haizidi hiyo.Asanteni.
 
Nyumba ya kupanga Tandika!?

You must be joking.......

Labda niwe namiliki nyumba yangu ndio naweza kuishi maeneo hayo, hata hivyo ningepangisha na kwenda kupanga sehemu nyingine.
 
Nyumba ya kupanga Tandika!?

You must be joking.......

Labda niwe namiliki nyumba yangu ndio naweza kuishi maeneo hayo, hata hivyo ningepangisha na kwenda kupanga sehemu nyingine.

jamaa ana sababu zake ndo maana anataka tandika/temeke pia kama wewe unaweza kuishi masaki sio wote wanauwezo huo na kila mtu ana mipango yake
 
Mkuu labda nikuulize tu kwa nn Tandika? Shughuli zako unategemea kuzifanya maeneo gani ili tukusaidie upanue sample space yako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wadau tandika yasaivi kunasehemu iyo hela kupa apartment nindogona nayakaida tuu watu kwazarau duuuuu
 
ndugu yangu,sitegemei kuhamisha shughuli zangu.lakini nina sababu zangu binafsi.Kama mtu anavyokaa Tegeta anafanya shughuli zake uwanja wa ndege.Asante kwa msaada.
Mkuu labda nikuulize tu kwa nn Tandika? Shughuli zako unategemea kuzifanya maeneo gani ili tukusaidie upanue sample space yako!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sina mana wewew mkuu kuna watu wanaona temeke nisehemu ya chini sana kwako mzee iyo nipesa sahii na ninyingi pai kiongozi
 
kama unataka mbezi ya kimara ni pm ina sifa zote ulizotaja na nyumba ni mpya kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom