emanuel kiwonyi
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 547
- 795
Upo pande zip
I'm sorry brother iache ikae tuu maana simu ya Elfu 50 kisa betri tuu haina ndiyo niitupe kwa 15,000 hiyo 20,000 ni vile kiujamaa maana maisha kusaidianaDuh!! Kula 15k basi mkuu hyo 5k npate pesa ya betri
Nipo dar ndiyo mkuu, ila huwezi pata simu ya mkononi ikiwa iko clear kila kitu kwa bei hii ninayo kuuzia labda iwe ya wizi.Si upo DSM mkuu?
Niuzie hicho kiroba.
Mkuu unaonekana unapenda sana chokochoko eeh. Utakuwa Mhaya wewe siyo bure.Sikusema bali niliandika.