Nahitaji Noah ya Kukodi

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,004
Reaction score
9,992
Wakuu naitaji Noah ya kukodi kwa siku ya kesho kuanzia saa 12 jioni. Naitaji kwa Ajili ya kupeleka wageni wangu uwanja wa Ndege

wageni wapo 8.
 
Dina, si tulijua network ya TMZ haijui kitu... kumbe waaapi..!!! paparazo ziko kila kona pa kujificha pameota -----... so we're left in the open bamboozled but to defend!! lol

Makampuni yapo kibao, je ni self driver au unataka na dereva?? Na unaish maeneo gan??
 
Wakuu naitaji Noah ya kukodi kwa siku ya kesho kuanzia saa 12 jioni...
Naitaji kwa Ajili ya kupeleka wageni wangu uwanja wa Ndege
wageni wapo 8...
budget yako shilingi ngapi????
kwa muda gani???
dereva na mafuta ni juu yako au????
 
Self driver kwa watu ambao hujui driving zao ni hatar

Vyovyote itakavyowezekana kama na dereva au self driving naitaji kuanzia saa 12.... ni kuwatoa wagen sinza na kuwapeleka uwanja wa ndege....
 
budget yako shilingi ngapi????
kwa muda gani???
dereva na mafuta ni juu yako au????


Vyovyote itakavyowezekana kama na dereva au self driving naitaji kuanzia saa 12.... ni kuwatoa wagen sinza na kuwapeleka uwanja wa ndege
 
Self driver au unataka na dereva??


Vyovyote itakavyowezekana kama na dereva au self driving naitaji kuanzia saa 12.... ni kuwatoa wagen sinza na kuwapeleka uwanja wa ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…