Jaribu kutibu ngozi yako kwa ndani ndugu urembo hauanzii nje unaanzia ndani yawezekana tatizo lako liko ndani hata ufanyeje upake nini it wont work kwasababu hujaondoa tatizo
Jaribu kutumia product zinazotibu kwa ndani na sio nje
Wasiliana nami kwa
Email consultationlifestyle@gmail.com
Mobile: 0754933253
very simple
kunywa juice ya tango lita moja kila siku
mara tatu kwa wiki kunywa mchanganyiko wa mayai mawili ya kienyeji mabichi... asali ya nyuki wadogo na maziwa
jipake mafuta ya nazi mix na asali
Nitafute kwa msaada kuhusu namna ya kuweza kufanya ngozi iwe nzuri na nyororo kwa kutumia lishe iliyoandaliwa kiasilia isiyokuwa na madhara kiafya na pia imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa nchini. ishealthy@hotmail.com