Nahitaji nifungue kanisa

Kama ni utani ni sawa lakini kama ni kweli pole....
Haya makanisa si rahisi kama unavyofikiria!!!!
Hakikisha una waganga wa kutosha na unakuwa muumini kwanza wa shetani ili uweze kuwa mchungaji.
Huko chuo ulipoteza miaka yako na muda wako bure kabisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…