Nahitaji Network PIN za Vodafone VF695

Nahitaji Network PIN za Vodafone VF695

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Posts
374
Reaction score
283
Habari nina simu yangu ya Vodafone VF695 sasa nahitaji iweze kutumia mitandao yote sasa nikiweka laini tofauti na voda inasema niweke Network PIN sasa nahitaji mtaalamu wa kuweza kunipatia hozo PIN
wasiliana nami whatsapp / sms/ call 0743497079
 
upo maeneo gani nije nikutolee fastaaaaa
 
tuma imei number hapa jukwaani... watu watakutumia hizo pin, jiandae kutoa kiasi kidogo kama ten hivi au hata fifteen
 
tuma imei number hapa jukwaani... watu watakutumia hizo pin, jiandae kutoa kiasi kidogo kama ten hivi au hata fifteen
Mkuu Nimeuliza kama kuna Tool yoyote yakuGenerate Unlock code, yani nifanye mwenyewe.
 
Mkuu Nimeuliza kama kuna Tool yoyote yakuGenerate Unlock code, yani nifanye mwenyewe.

ipo ila inauzwa!! kwa hio unaweza order online au kutafuta huko das salamu
 
Mimi natumia CRACK YA NCK na huwa ina unclock bila shida ni mubashara kabisa ,km hujapata msaada nicheck PM ila njoo na ya chai km unataka ufanye mwenyewe hakikisha una PC,DRIVERS,USB CABLE,NCK FULL CRACKED NO HWID ,NA KAMA HUNA UNICHECK PM NITAKUSAIDIA

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom