ninajua sehemu wanauza sasa hii conection kutoa Bure ni hasara kubwa sana. sema inatakiwa utume sample na size na ueleze matumzi yake maana zipo za aina tofauti tofauti yaani madaraja kuna madaraja ya chakula, matumizi ya ndani n.k naweza kukusaidia namna ya kupata ila ujuzi unauzwa