Nahitaji na ninapenda kujitolea!

Visionmark

Senior Member
Nov 24, 2011
158
28
Heshima kwenu wana JF, mimi ni kijana ambaye mnamo mwaka 2010 nilimaliza shahada yangu ya kwanza ktk masuala ya usimamizi wa wanyamapori (BSc. Wildlife Management), hv sasa nina mwaka nikiwa nimeajiriwa ktk kampuni moja binafsi jijini Dsm ambayo haiendani kabisa na kile nilichosomea. Hivyo nawaomba wana JF kama kuna mtu anataarifa yakuwepo kwa taasisi binafsi linayojihusisha na uhifadhi/usimamizi wa wanyama pori au mazingira yenye nafasi za kujitolea basi anijuze! Na kheri ya mwaka mpya 2012 kwenu nyote!
 
Embu cheki na hawa watu wa Frankfurt Zoological Society tafuta contacts zao unaweza hata ukafanya intern nao, wapo serengeti na ngorongoro sana ni wajerumani na wana mira.di mingi sana Africa
 
hapo ulipo ajiriwa mkuu sipanaweza ni faa mimi na diploma yangu ya law?
 
Ebwana ahsante sana & ntajitahidi kuwatafuta!
 
hapo ulipo ajiriwa mkuu sipanaweza ni faa mimi na diploma yangu ya law?

Aaaah, mkuu kwa kweli sidhani kama sehem niliyopo hv sasa kama inaweza ikakufaa kwa wewe mtu wa sheria, manake hawa watu wao wanachukua sana sana watu ambao wamesoma masomo ya sayansi kule kidato cha tano na sita au chuo na hasa masomo ya biolojia & kemia!
 
poa mkuu asante kwa kunifahamisha
 
Back
Top Bottom