Sex is not LoveHabari za weekend ndugu zangu,
Kuna muda kwenye Maisha unahitaji mtu sahihi wa Ku share naye upendo na mapenzi yako, mtu ambaye atakudekea, utamdekeza, utampenda na kumuheshimu, ujisikie furaha akikusifia na kukubali penz nzuri lisilo na maumivu, na wish nikutane na mdada ambaye anapenda kupendwa nimpende, anayependa kuliwazwa nimliwaze, anayependa kufurahia mapenz na mahusiano nikufurahishe na kukusahaulisha panda shuka zote ulizowahi kupitia katika mahusiano.
Mwanamke flan unayejitambua na kujiamini ndiyo nayekuhitaji, na pia mwenye hutaji na utayari wa mahusiano ya furaha na Amani, nitakupa time yangu na Ku share kila kizuri cha mahusiano.
Sibagui kabila wala dini Mimi ni mkristo wa miaka 36 naishi dar es salaam lakini nipo tayari Ku date ma mpenz wangu wa kutoka mkoa wowote.
Kwa lugha nyingne nzuri natafuta Mwenza hapa ndugu zangu, hata kama sio wewe ni ndugu au rafiki yako naomba connection nitashukuru saana! Naomba niwakaribishe PM yangu ipo wazi, na nikipata nitarudi na mrejesho hapa.
Asante saana
Kila la kheri mkuuHabari za weekend ndugu zangu,

KaribuuuLong distance relationship utaweza mzee??
Unaamka unakuta tindika limesimama long distance sio mchezo sangapi usiwaze ukuda😃Long distance relationship utaweza mzee??
Karibu saanaNipo mimi hapa nataka kupendwa, huenda ikawa ni bahati yangu ya kumpata mume mwema kutoka kwa Bwana
Kwahiyo hata Vikojoleo mtagusanisha WhatsApp?Long distance relationship utaweza mzee??
Mwaka huu mtanyooka mtake msitake 😀
Kwahiyo hata Vikojoleo mtagusanisha WhatsApp?
Sijui kuacha mimi..Mwaka huu mtanyooka mtake msitake 😀