Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
- Mweusi
- Mkristo
- Ninafanya bihashara
- Nina watoto 2
- Naishi dar es salaam.
SIFA ZA MWANAUME.
- Rangi yoyote
- Awe mrefu, asiwe na kitambi
- Kabila lolote
- Awe na shughuli inayomuingizia kipato
- Awe na miaka 32 na kuendelea.
- Awe mkristo
- Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
- Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa pm..