Nahitaji mwenza wa maisha wa muda

Nahitaji mwenza wa maisha wa muda

Yaani ilibakia kidogo tu ningekamata fursa, tatizo ni hicho kigezo cha kwanza umri nimezidi mwaka mmoja, kwani wewe Rohombaya utataka cheti cha kuzaliwa siku ya usaili?
 
Last edited by a moderator:
Yaani ilibakia kidogo tu ningekamata fursa, tatizo ni hicho kigezo cha kwanza umri nimezidi mwaka mmoja, kwani wewe Rohombaya utataka cheti cha kuzaliwa siku ya usaili?
Hapana. Nimeweka age kwasababu ndyo watu wengi wanaelewa hivyo. Mie naamini age is about how you think and act. Unaweza kuwa na miaka 60 lakini ukafikiri na kutenda kama kijana wa miaka 21. Cha msingi ni kujipima mwenyewe how you think and act :smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom