Nahitaji mwenza wa maisha wa muda

Nahitaji mwenza wa maisha wa muda

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
13,078
Reaction score
10,426
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015
Jukumu:
Kuniliwaza
Sifa:
1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35.
2. Awe na elimu inayomsaidia kuishi bila taabu katika karne hii
3. Asiwe na kazi inayombana sana
4. Awe anaishi Dar au awe tayari kuhamishia shughuli zake Dar.
5. Asiwe maarufu ( Msanii, mwanamichezo, mwanasiasa etc).
6. Asiwe anahitaji mtoto kwa sasa.
7. Asiwe anatumia pombe/sigara kwa kiasi cha juu.
8. Asiwe Mchoyo

Benefits
1. Chakula na malazi bure kwenye nyumba iliyopo karibu na bahari
2. matibabu bure.
3. Usafiri wa kwenda kazini na kurudi ndani ya Dar self driving/ au aendeshwe bure kwa 2012 model sports car
4. Shopping yake binafsi ya 2.5m kila mwezi.
5. Pocket money ya siku 100,000/-.
6. Atapumzika siku 6 kila mwezi aweze kufanya mambo yake binafsi.
7. Mafao mwisho wa mkataba yapo kuanzia 24m na kuendelea kutokana na juhudi zako

Hakuna kupika, laundry wala house cleaning business. Labda apende mwenyewe.
This contract is renewable kama tutaona inafaa.

Atakayekuwa interested anipm kwa maelekezo zaidi

Ahsanteni sana wote mliokuwa interested. Nimepata pm nyingi sana nimeshindwa hata kufanya selection. Wote mlikuwa mnafaa lakini kwa bahati mbaya kuna nafasi moja tu hivyo ikanibidi nitumie njia ya kubahatisha ili kupunguza idadi. Wote niliokutana nao nadhani wamepata stahili zao za usumbufu kwenye simu zao au akaunti za benki walizoziacha. Mniwie radhi kama kuna jambo lolote ambalo hamkuridhika nalo ila mjue tu si nia yangu iwe hivyo. Pia personal information zote huwa ninazifuta mara ukiconfirm kwamba umepata stahili zako. Watanzania wanavutia sana.
Ahsanteni wote kwa upendo wenu mliouonyesha

May 16th, 2014
 
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015
Jukumu:
Kuniliwaza
Sifa:
1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35.
2. Awe na elimu inayomsaidia kuishi bila taabu katika karne hii
3. Asiwe na kazi inayombana sana
4. Awe anaishi Dar au awe tayari kuhamishia shughuli zake Dar.
5. Asiwe maarufu ( Msanii, mwanamichezo, mwanasiasa etc).
6. Asiwe anahitaji mtoto kwa sasa.
7. Asiwe anatumia pombe/sigara kwa kiasi cha juu.
8. Asiwe Mchoyo

Benefits
1. Chakula na malazi bure kwenye nyumba iliyopo karibu na bahari
2. matibabu bure.
3. Usafiri wa kwenda kazini na kurudi ndani ya Dar self driving/ au aendeshwe bure kwa 2012 model sports car
4. Shopping yake binafsi ya 2.5m kila mwezi.
5. Pocket money ya siku 100,000/-.
6. Atapumzika siku 6 kila mwezi aweze kufanya mambo yake binafsi.
7. Mafao mwisho wa mkataba yapo kuanzia 24m na kuendelea kutokana na juhudi zako

Hakuna kupika, laundry wala house cleaning business. Labda apende mwenyewe.
This contract is renewable kama tutaona inafaa.

Atakayekuwa interested anipm kwa maelekezo zaidi

Too sweet to be true! By the way wewe una sifa gani
 
post za hv ndo znafanya hata walio serious kutafta wenza kuonekana hawako serious!
Im serious nataka niwe wazi. Huyu niliye naye anamipango yake ambayo itatufanya tusiwe pamoja. Tumekubaliana tukiss goodbye mwisho wa June mwaka huu. Sipendi kuzungukakuzunnguka ndiyo maana nimeamua kiwa wazi
 
Aiseee! Kwanini usisaidie ndugu zako kwa hela zote hizo?
hizi si pesa nyingi, hata hivyo sijui unarefer wapi hadi useme ni nyingi. Kwangu ndiyo budget niliyojiwekea. Do u know how much you you take from your hb/bf?? Au kwa sababu hapigi total?? Believe me anakulipa zaidi ya hii
 
Ninahitaji mwenza wa maisha wa muda mwanamke kuanzia July 1st, 2014 hadi june 30th, 2015
Jukumu:
Kuniliwaza
Sifa:
1. Awe na afya njema umri kuanzia miaka 18 to 35.
2. Awe na elimu inayomsaidia kuishi bila taabu katika karne hii
3. Asiwe na kazi inayombana sana
4. Awe anaishi Dar au awe tayari kuhamishia shughuli zake Dar.
5. Asiwe maarufu ( Msanii, mwanamichezo, mwanasiasa etc).
6. Asiwe anahitaji mtoto kwa sasa.
7. Asiwe anatumia pombe/sigara kwa kiasi cha juu.
8. Asiwe Mchoyo

Benefits
1. Chakula na malazi bure kwenye nyumba iliyopo karibu na bahari
2. matibabu bure.
3. Usafiri wa kwenda kazini na kurudi ndani ya Dar self driving/ au aendeshwe bure kwa 2012 model sports car
4. Shopping yake binafsi ya 2.5m kila mwezi.
5. Pocket money ya siku 100,000/-.
6. Atapumzika siku 6 kila mwezi aweze kufanya mambo yake binafsi.
7. Mafao mwisho wa mkataba yapo kuanzia 24m na kuendelea kutokana na juhudi zako

Hakuna kupika, laundry wala house cleaning business. Labda apende mwenyewe.
This contract is renewable kama tutaona inafaa.

Atakayekuwa interested anipm kwa maelekezo zaidi

Hii ni kazi au mahusiano????
 
Safi sana hyo ndio jeuri ya pesaa...watakuja tu watake wasitake...
 
Siyo jeuri ya pesa. Ni aina ya maisha niliyoamua. BTW check your budget unayospend kwake ndiyo utatia akili 🙂
 
Kweli kazi kwetu tushindwe sisi tu
Ila usije shangaa unaonana nae af anakupa kobe umnyonyeshe hapo ndipo akili itakapokukaa sawa
Hofu yako tu. Lakini mwanamke ni wa kusaidiwa/kulelewa tu. Ndiyo asili yetu wanadamu, na hata kwa wanyama na ndege.. Au kwasababu nimekuwa open sana? Lakini kuwa open mwanzo kabisa ni vizuro ili kula mmoja ajue yupo ndani ya nini.

Au mnapenda kudanganywa kisha baadaye mtelekezwe? Hili ndilo mie siliamini
 
Well said mkuu
Tatizo wasema Kweli kama nyie hawapo na mliopo ni wawili katika mia......ndio maana akili yangu inagoma kuamini hayo uloyaeleza ila kama ndivyo na huna ajenda mbaya ya siri basi uzidi kubarikiwa Mkuu maana ni wanaume wachache wanaojua kua mwanamke ni wa kujaliwa na kuhudumiwa

Ningekua siko on mariage ningechangamkia fursa mapema sana
Pamoja sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom