Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,797
- 1,976
thanks mkuu nitakuwa makiniSubiri watakuja, ila kuwa makini matepeli wengi mjini.
Ni nzuri has a ukiwa karibu Na shule za A level. Pamoja vyuoHabari wakuu wangu i hope kila mmoja wenu yuko salama. Niende kwenye lengo kamili.
Nahitaji mwenye kuuza photocopy machine aniuzie au mkazi wa Dar aniambie machine hiyo inauzwa bei gani.
Mimi ni kijana ambaye nahitaji kuinuka na kusimama kama wengine kiuchumi na plani yangu mwaka huu nilitaka kuanzisha stastinary huku mkoani. Pia kama hamto jari mtu yeyote mwenye uzoefu na biashara hiyo si vibaya akanijuza ili kunipa mwanga nianzie wapi.
Natanguliza shukurani kwa yeyote atakaye nipa mawazo yoyote nayo nitayafanyia kazi. Thanks
Unazigawa bure?Vipi utotoa na kusambaza vipeperushi pendwa nikupe printa buree ?
Vigezo na mashariti hivyo vya kugawa vipeperusha pendwa bureekuzingatiwaUnazigawa bure?
Vipepelushi vipi mkuuVipi utotoa na kusambaza vipeperushi pendwa nikupe printa buree ?
Mkoa wa Kigomashughuli zako unataka kuzifanyia mkoa gani
powa nitakuja tuzungumze mkuu ninahitaji kweliIpo njoo kimara mwisho tufanye biashara au pm kwa maelezo yaliyoshiba
nicheck pm nikuuzie kila kitu kwenye stationary yangu moroMkoa wa Kigoma
upo Morogoro mkuunicheck pm nikuuzie kila kitu kwenye stationary yangu moro
Ok. I can do it if and you you'r need itukipata bei share hapa pamoja na picha za machine
Blaza upo Tanzania kweli?Vipepelushi vipi mkuu
Yeah. Nipo Tanzania mkuu why umeuliza swali kama hiyoBlaza upo Tanzania kweli?