Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,851
- 11,610
Wakuu kama bandiko linavyosomeka. Nahitaji kama kuna anayeuza Alcatel zile ndogo za kawaida. Nimesahau model ila ni zile ndogo. Naihitaji. Kama uko nayo wauza PM na bei na namba ya simu.