Habari za mdaa huu wana jf natumai mu wazima mnaendelea kuijenga tanzania ya viwanda
mimi ni mjasiriamal mdogo ambae nimeamua kujiajiri kwa kutengeneza viatu vya ngozi ni biashara ambayo nina uzoefu nayo kwa mwaka 1 na miezi 3 tatizo kubwa linalonikumba ninapata oda nyingi tofauti na mtaji hivyo nashindwa jinsi ya kuzifanyia kazi kwa muda muafaka kama kuna mtu atakua yupo tayari kuwekeza kiasi kisichopungua milion moja na tukatengeneza faida ya laki 2 kwa wiki nitashukuru sana ..kuhusu jinsi gani tugawana faida na mambo mengine call au whatsup 0625888090 nipo tegeta kwa ndevu
Sent using Jamii Forums mobile app