Nahitaji mwanaume mwenye mtoto

Nahitaji mwanaume mwenye mtoto

Mimi sijaelewa namna ya malezihayo,
kama dada wakazi?
Au kama mama mlezi?
Kama itakua dada wakazi vipi kuhusu malipo?
Kama nikama mama sitakua na swali la ziada
 
Lea watoto wa ndugu zako,unataka wa mwanaume unumfaishe ili iweje lea wa ndugu au wadogo zako halaf ulee na wa mwanaume,sio kukimbilia tu wa mwanaume utaoga bahari
 
Mimi nine mmoja mwingine mtalajiwa njoo unisaidie kulea ntashukuru kweli
 
Mimi ni mwanamke najitokeza katika jukwaa hili ili kutafuta mwanaume mwenye mtoto mmoja tu ili nimsaidie kulea.

Napenda sana watoto ila bado sijafanikiwa kupata mtoto.mwenye hitaji hilo karibu unitumie private message

Nina mtoto wakiume . . Ni pm au ni email 'nickson.sady@gmail.com. . . Kama ukosirios
 
Mimi ni mwanamke najitokeza katika jukwaa hili ili kutafuta mwanaume mwenye mtoto mmoja tu ili nimsaidie kulea.

Napenda sana watoto ila bado sijafanikiwa kupata mtoto.
mwenye hitaji hilo karibu unitumie private message


  1. wee ni specialist wa aina gani ya malezi ya mtoto? malezi yako ni ya kidini ama kiimla? kama dini- dini gani?
  2. kama ni kulea mtoto kwa nini unataka kulea mtoto wa mwanaume na si wa mwanamke mwenzako?
  3. wakati wa malezi haya ya mtoto, uhusiano wk utakuwaje na baba wa mtoto husika?
  4. unataka mtoto wa aina gani?
  5. Je kama nina mtoto yatima, hana baba, huwezi kunisaidia?
  6. vp kuhusu Return on Investment (matarajio yako)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom